1 Kor. 7:29 SUV

29 Lakini, ndugu, nasema hivi, muda ubakio si mwingi; basi tokea sasa wale walio na wake na wawe kama hawana;

Kusoma sura kamili 1 Kor. 7

Mtazamo 1 Kor. 7:29 katika mazingira