1 Kor. 7:39 SUV

39 Mwanamke hufungwa maadamu mumewe yu hai, lakini ikiwa mumewe amefariki, yu huru kuolewa na mtu ye yote amtakaye; katika Bwana tu.

Kusoma sura kamili 1 Kor. 7

Mtazamo 1 Kor. 7:39 katika mazingira