Lk. 1:18 SUV

18 Zakaria akamwambia malaika, Nitajuaje neno hilo? Maana mimi ni mzee, na mke wangu ni mkongwe wa siku nyingi.

Kusoma sura kamili Lk. 1

Mtazamo Lk. 1:18 katika mazingira