Lk. 19:11 SUV

11 Waliposikia hayo, aliongeza kusema mfano, kwa sababu alikuwa karibu na Yerusalemu, na wao walidhani ya kuwa ufalme wa Mungu utaonekana mara.

Kusoma sura kamili Lk. 19

Mtazamo Lk. 19:11 katika mazingira