Lk. 2:25 SUV

25 Na tazama, pale Yerusalemu palikuwa na mtu, jina lake Simeoni, naye ni mtu mwenye haki, mcha Mungu, akiitarajia faraja ya Israeli; na Roho Mtakatifu alikuwa juu yake.

Kusoma sura kamili Lk. 2

Mtazamo Lk. 2:25 katika mazingira