Lk. 3:8 SUV

8 Basi, toeni matunda yapatanayo na toba; wala msianze kusema mioyoni mwenu, Tunaye baba, ndiye Ibrahimu; kwa maana nawaambia ya kwamba katika mawe haya Mungu aweza kumwinulia Ibrahimu watoto.

Kusoma sura kamili Lk. 3

Mtazamo Lk. 3:8 katika mazingira