Lk. 7:38 SUV

38 Akasimama nyuma karibu na miguu yake, akilia, akaanza kumdondoshea miguu machozi yake, na kuipangusa kwa nywele za kichwa chake, akiibusu-busu miguu yake na kuipaka yale marhamu.

Kusoma sura kamili Lk. 7

Mtazamo Lk. 7:38 katika mazingira