10 Ndipo Ben-hadadi akatuma kwake, akasema, Miungu wanifanyie hivi na kuzidi, yakiwa mavumbi ya Samaria yatatosha makonzi ya watu wote walio miguuni pangu.
Kusoma sura kamili 1 Fal. 20
Mtazamo 1 Fal. 20:10 katika mazingira