1 Nya. 11:6 SUV

6 Naye Daudi akasema, Mtu ye yote atakayekuwa wa kwanza wa kuwapiga Wayebusi, yeye atakuwa mkuu na jemadari. Naye wa kwanza aliyepanda ni Yoabu mwana wa Seruya, naye akawa mkuu.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 11

Mtazamo 1 Nya. 11:6 katika mazingira