1 Nya. 15:29 SUV

29 Hata ikawa, sanduku la agano la BWANA lilipofika mjini kwa Daudi, Mikali binti Sauli akachungulia dirishani, akamwona mfalme Daudi, akicheza na kushangilia; akamdharau moyoni mwake.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 15

Mtazamo 1 Nya. 15:29 katika mazingira