1 Nya. 17:17 SUV

17 Tena jambo hili lilikuwa dogo machoni pako, Ee Mungu; hata umeleta habari ya nyumba yangu mimi, mtumwa wako, kwa miaka mingi inayokuja, nawe umeniangalia sawasawa na hali ya mtu mwenye cheo, Ee BWANA Mungu.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 17

Mtazamo 1 Nya. 17:17 katika mazingira