1 Nya. 17:27 SUV

27 nawe sasa umekuwa radhi kuibarikia nyumba ya mtumwa wako, ipate kudumu milele mbele zako; kwa maana wewe, BWANA, umebarikia, nayo imebarikiwa milele.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 17

Mtazamo 1 Nya. 17:27 katika mazingira