1 Nya. 18:5 SUV

5 Na Washami wa Dameski walipokuja wamsaidie Hadadezeri, mfalme wa Soba, Daudi akapiga katika hao Washami watu ishirini na mbili elfu.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 18

Mtazamo 1 Nya. 18:5 katika mazingira