1 Nya. 18:6 SUV

6 Ndipo Daudi akaweka ngome katika Shamu ya Dameski; nao Washami wakawa watumwa wa Daudi, wakaleta zawadi. Naye BWANA akampa Daudi kushinda kila alikokwenda.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 18

Mtazamo 1 Nya. 18:6 katika mazingira