1 Nya. 22:2 SUV

2 Basi Daudi akaamuru wakusanyike wageni waliokuwa katika nchi ya Israeli; akaweka waashi wachonge mawe ili kujenga nyumba ya Mungu.

Kusoma sura kamili 1 Nya. 22

Mtazamo 1 Nya. 22:2 katika mazingira