13 Nao watu wa Beth-shemeshi walikuwa wakivuna ngano yao bondeni; wakainua macho yao, wakaliona sanduku, wakafurahi sana kuliona.
Kusoma sura kamili 1 Sam. 6
Mtazamo 1 Sam. 6:13 katika mazingira