Amu. 11:19 SUV

19 Kisha Israeli wakatuma wajumbe waende kwa Sihoni mfalme wa Waamori, mfalme wa Heshboni: Israeli wakamwambia, Twakuomba utupe ruhusa tupite katika nchi yako, mpaka mahali pangu.

Kusoma sura kamili Amu. 11

Mtazamo Amu. 11:19 katika mazingira