Amu. 11:20 SUV

20 Lakini huyo Sihoni hakuwaamini Israeli ili wapite ndani ya mpaka wake; bali Sihoni akawakutanisha watu wake wote, nao wakapanga kambi katika Yahasa, wakapigana na Israeli.

Kusoma sura kamili Amu. 11

Mtazamo Amu. 11:20 katika mazingira