Eze. 16:61 SUV

61 Hapo ndipo utakapozikumbuka njia zako, na kutahayarika, hapo utakapowakaribisha maumbu yako, walio wakubwa wako na wadogo wako; nami nitakupa hao wawe binti zako, lakini si kwa agano lako.

Kusoma sura kamili Eze. 16

Mtazamo Eze. 16:61 katika mazingira