Eze. 26:12 SUV

12 Nao wataufanya utajiri wako kuwa mateka, na bidhaa yako kuwa mawindo; nao watazibomoa kuta zako, na kuziharibu nyumba zako zipendezazo; nao wataweka mawe yako, na miti yako, na mavumbi yako, kati ya maji.

Kusoma sura kamili Eze. 26

Mtazamo Eze. 26:12 katika mazingira