Eze. 29:5 SUV

5 Nami nitakuacha hali umetupwa jangwani, wewe na samaki wote wa mito yako; utaanguka juu ya uso wa uwanda; hutakusanywa, wala kuwekwa pamoja; nimekutoa uwe chakula cha wanyama wa nchi, na cha ndege wa angani.

Kusoma sura kamili Eze. 29

Mtazamo Eze. 29:5 katika mazingira