Eze. 8:2 SUV

2 Ndipo nikaangalia, na tazama, kana kwamba ni mfano wa moto; tangu mfano wa viuno vyake na chini, moto; na tangu mfano wa viuno vyake na juu, kana kwamba ni mfano wa mwangaza, kama rangi ya kaharabu.

Kusoma sura kamili Eze. 8

Mtazamo Eze. 8:2 katika mazingira