Hes. 1:1 SUV

1 BWANA akanena na Musa katika bara ya Sinai, hemani mwa kukutania, siku ya kwanza ya mwezi wa pili, katika mwaka wa pili baada ya kutoka kwao nchi ya Misri, akamwambia,

Kusoma sura kamili Hes. 1

Mtazamo Hes. 1:1 katika mazingira