Isa. 1:5 SUV

5 Mbona mnataka kupigwa hata sasa, hata mkazidi kuasi? Kichwa chote ni kigonjwa, moyo wote umezimia.

Kusoma sura kamili Isa. 1

Mtazamo Isa. 1:5 katika mazingira