Isa. 13:22 SUV

22 Na mbwa-mwitu watalia ndani ya ngome zake; na mbweha ndani ya majumba ya anasa; na wakati wake u karibu kufika, na siku zake hazitaongezeka.

Kusoma sura kamili Isa. 13

Mtazamo Isa. 13:22 katika mazingira