Isa. 19:25 SUV

25 kwa kuwa BWANA wa majeshi amewabariki, akisema, Wabarikiwe watu wangu Misri; na wewe Ashuru, kazi ya mikono yangu; na wewe Israeli, urithi wangu.

Kusoma sura kamili Isa. 19

Mtazamo Isa. 19:25 katika mazingira