Isa. 2:4 SUV

4 Naye atafanya hukumu katika mataifa mengi, atawakemea watu wa kabila nyingi; nao watafua panga zao ziwe majembe, na mikuki yao iwe miundu; taifa halitainua upanga juu ya taifa lingine, wala hawatajifunza vita tena kamwe.

Kusoma sura kamili Isa. 2

Mtazamo Isa. 2:4 katika mazingira