Isa. 20:3 SUV

3 Naye akafanya hivyo akaenda uchi, miguu yake haina viatu. BWANA akasema, Kama vile mtumishi wangu Isaya anavyokwenda uchi, hana viatu, awe ishara na ajabu kwa muda wa miaka mitatu juu ya Misri na juu ya Kushi;

Kusoma sura kamili Isa. 20

Mtazamo Isa. 20:3 katika mazingira