Isa. 29:23 SUV

23 Bali atakapowaona watoto wake, walio kazi ya mikono yangu, katikati yake, wao watalitakasa jina langu; naam, watamtakasa Mtakatifu wa Yakobo, nao watamcha Mungu wa Israeli.

Kusoma sura kamili Isa. 29

Mtazamo Isa. 29:23 katika mazingira