Isa. 30:18 SUV

18 Kwa ajili ya hayo BWANA atangoja, ili awaonee huruma, na kwa ajili ya hayo atatukuzwa, ili awarehemu; kwa maana BWANA ni Mungu wa hukumu; heri wote wamngojao.

Kusoma sura kamili Isa. 30

Mtazamo Isa. 30:18 katika mazingira