Isa. 30:19 SUV

19 Kwa maana watu watakaa katika Sayuni huko Yerusalemu; wewe hutalia tena; hakika yake atakuonea rehema nyingi kwa sauti ya kilio chako; asikiapo ndipo atakapokujibu.

Kusoma sura kamili Isa. 30

Mtazamo Isa. 30:19 katika mazingira