Isa. 30:26 SUV

26 Na tena nuru ya mwezi itakuwa kama nuru ya jua, na nuru ya jua itaongezeka mara saba, kama nuru ya siku saba, katika siku ile BWANA atakapofunga mapigo ya watu wake, na kuliponya pigo la jeraha yao.

Kusoma sura kamili Isa. 30

Mtazamo Isa. 30:26 katika mazingira