Isa. 43:20 SUV

20 Wanyama wa kondeni wataniheshimu, mbweha pia na mbuni; kwa sababu nimewapa maji jangwani, na mito nyikani, ili kuwanywesha watu wangu, wateule wangu;

Kusoma sura kamili Isa. 43

Mtazamo Isa. 43:20 katika mazingira