Isa. 49:20 SUV

20 Watoto ulionyang’anywa watasema masikioni mwako, Mahali hapa ni pembamba, hapanitoshi; nipe nafasi nipate kukaa.

Kusoma sura kamili Isa. 49

Mtazamo Isa. 49:20 katika mazingira