Isa. 53:9 SUV

9 Wakamfanyia kaburi pamoja na wabaya;Na pamoja na matajiri katika kufa kwake;Ingawa hakutenda jeuri,Wala hapakuwa na hila kinywani mwake.

Kusoma sura kamili Isa. 53

Mtazamo Isa. 53:9 katika mazingira