Isa. 55:10 SUV

10 Maana kama vile mvua ishukavyo, na theluji, kutoka mbinguni, wala hairudi huko; bali huinywesha ardhi, na kuizalisha na kuichipuza, ikampa mtu apandaye mbegu, na mtu alaye chakula;

Kusoma sura kamili Isa. 55

Mtazamo Isa. 55:10 katika mazingira