Isa. 60:19 SUV

19 Jua halitakuwa nuru yako tena wakati wa mchana,Wala mwezi hautakupa nuru kwa mwangaza wake;Bali BWANA atakuwa nuru ya milele kwako,Na Mungu wako atakuwa utukufu wako.

Kusoma sura kamili Isa. 60

Mtazamo Isa. 60:19 katika mazingira