Isa. 61:4 SUV

4 Nao watajenga mahali pa kale palipoharibiwa, watapainua mahali palipokuwa ukiwa zamani, watatengeneza miji iliyoharibiwa, mahali palipoachwa kizazi baada ya kizazi.

Kusoma sura kamili Isa. 61

Mtazamo Isa. 61:4 katika mazingira