Kut. 10:19 SUV

19 BWANA akaugeuza upepo wa magharibi wenye nguvu nyingi, ambao uliwaondoa wale nzige na kuwapeleka katika Bahari ya Shamu; hakusalia hata nzige mmoja ndani ya mipaka yote ya Misri.

Kusoma sura kamili Kut. 10

Mtazamo Kut. 10:19 katika mazingira