Kut. 12:30 SUV

30 Farao akaondoka usiku, yeye na watumishi wake wote, na Wamisri wote; pakawa na kilio kikuu katika Misri; maana hapakuwa na nyumba hata moja asimokufa mtu.

Kusoma sura kamili Kut. 12

Mtazamo Kut. 12:30 katika mazingira