Kut. 14:23 SUV

23 Na wale Wamisri wakawafuatia, wakaingia ndani kati ya bahari, farasi zote za Farao, na magari yake, na wapanda farasi wake.

Kusoma sura kamili Kut. 14

Mtazamo Kut. 14:23 katika mazingira