Kut. 16:10 SUV

10 Ilikuwa Haruni aliponena na huo mkutano wote wa wana wa Israeli, wakaangalia upande wa bara, na tazama, utukufu wa BWANA ukaonekana katika hilo wingu.

Kusoma sura kamili Kut. 16

Mtazamo Kut. 16:10 katika mazingira