Kut. 24:3 SUV

3 Musa akaenda akawaambia watu maneno yote ya BWANA, na hukumu zake zote; watu wote wakajibu kwa sauti moja, wakasema, Maneno yote aliyoyanena BWANA tutayatenda.

Kusoma sura kamili Kut. 24

Mtazamo Kut. 24:3 katika mazingira