Kut. 26:10 SUV

10 Fanya tanzi hamsini upande wa mwisho wa pazia lile lililo la mwisho katika hayo yaliyounganywa pamoja, na tanzi hamsini upande wa mwisho wa lile pazia lililo nje katika hayo ya pili yaliyounganywa pamoja.

Kusoma sura kamili Kut. 26

Mtazamo Kut. 26:10 katika mazingira