Kut. 3:4 SUV

4 BWANA alipoona ya kuwa amegeuka ili atazame, Mungu akamwita kutoka katikati ya kile kijiti, akasema, Musa! Musa! Akasema, Mimi hapa.

Kusoma sura kamili Kut. 3

Mtazamo Kut. 3:4 katika mazingira