Kut. 33:12 SUV

12 Musa akamwambia BWANA, Angalia, wewe waniambia, Wachukue watu hawa; nawe hukunijulisha ni nani utakayemtuma pamoja nami. Walakini umesema, Nakujua jina lako, nawe umepata neema mbele zangu.

Kusoma sura kamili Kut. 33

Mtazamo Kut. 33:12 katika mazingira