Kut. 33:5 SUV

5 BWANA akamwambia Musa, Waambie wana wa Israeli, Ninyi ni watu wenye shingo ngumu; kama mimi nikiingia kati yenu dakika moja, nitawaangamiza; basi sasa vueni vyombo vyenu vya uzuri ili nipate kujua nitakalowatenda.

Kusoma sura kamili Kut. 33

Mtazamo Kut. 33:5 katika mazingira