Kut. 36:36 SUV

36 Naye akafanya kwa ajili yake nguzo nne za mti wa mshita, akazifunika dhahabu; na kulabu zake zilikuwa za dhahabu; naye akasubu kwa ajili yake matako manne ya fedha.

Kusoma sura kamili Kut. 36

Mtazamo Kut. 36:36 katika mazingira