Kut. 6:6 SUV

6 Basi waambie wana wa Israeli, Mimi ni YEHOVA, nami nitawatoa ninyi mtoke chini ya mizigo ya Wamisri, nami nitawaokoa na utumwa wao, nami nitawakomboa kwa mkono ulionyoshwa, na kwa hukumu kubwa;

Kusoma sura kamili Kut. 6

Mtazamo Kut. 6:6 katika mazingira