Kut. 9:27 SUV

27 Farao akatuma watu, na kuwaita Musa na Haruni, na kuwaambia, Mimi nimekosa wakati huu; BWANA ni mwenye haki, na mimi na watu wangu tu waovu.

Kusoma sura kamili Kut. 9

Mtazamo Kut. 9:27 katika mazingira